Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Hii picha imepigwa leo usiku
Final ya PSG na Chelsea kule Marekani, Chelsea walipitia tunachokipitia Arsenal kwa sasa kwenye dunia ya soka. Ila chakushangaza Chelsea alimnyanyasa PSG game nzima hamna alipotoboa. Hii yaweza kujirudia kwenye Final ya leo so acha tusubiri ball litembee😁😁😁
 
Labda ulozi uusike
 
Yamejikusanya yame cast hadi 48% bila aibu.

Niwakumbushe tu washika mitutu kuwa kombe halichukuliwi kwa harambee.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…