K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,150 Reaction score 2,273 Apr 9, 2017 #21 GAZETI said: Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu Click to expand... Hongera kwa Uzalendo.Hii Alger ni timu kubwa sana Yanga wajiandae kweli kweli mechi ya marudiano.Ili wapate matokeo mazuri yanga lazima wawatumie Tambwe na Ngoma (kama watakuwa fit) kwani hawakucheza kwa hiyo Alger hawawafahamu vizuri
GAZETI said: Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu Click to expand... Hongera kwa Uzalendo.Hii Alger ni timu kubwa sana Yanga wajiandae kweli kweli mechi ya marudiano.Ili wapate matokeo mazuri yanga lazima wawatumie Tambwe na Ngoma (kama watakuwa fit) kwani hawakucheza kwa hiyo Alger hawawafahamu vizuri
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,278 Reaction score 1,288 Apr 9, 2017 #22 muhomakilo jr said: Bao moja?,yaleyale ya ZANACO yanajirudia.. Click to expand... [emoji56][emoji56][emoji56]
muhomakilo jr said: Bao moja?,yaleyale ya ZANACO yanajirudia.. Click to expand... [emoji56][emoji56][emoji56]
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Apr 9, 2017 #23 GAZETI said: Ni ya Angola mkuu Click to expand... Asante kwa urekebu naomba Hansad za jf ziweke kumbukumbu sawa.
GAZETI said: Ni ya Angola mkuu Click to expand... Asante kwa urekebu naomba Hansad za jf ziweke kumbukumbu sawa.
Atanas lugusi Member Joined Apr 8, 2017 Posts 18 Reaction score 6 Apr 9, 2017 #24 GAZETI said: Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu Click to expand... Hongereni ila msibweteke
GAZETI said: Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu Click to expand... Hongereni ila msibweteke