Hongera kwa Uzalendo.Hii Alger ni timu kubwa sana Yanga wajiandae kweli kweli mechi ya marudiano.Ili wapate matokeo mazuri yanga lazima wawatumie Tambwe na Ngoma (kama watakuwa fit) kwani hawakucheza kwa hiyo Alger hawawafahamu vizuriMimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa
Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu