Full Time: Yanga 4-0 JKT Tanzania | KMC Complex | 12:00 Jioni | Yanga wanaendelea kuwaumiza wapinzani

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Yanga SC imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa KMC Complex saa 12:00 jioni.

Magoli ya Yanga yamefungwa na Kangwanda, Shadrack Boka, Peter Shalulile na Ibrahimu Bacca, huku Yanga ikiendelea kuwaumiza wapinzani wake katika ligi.
===============
Yanga leo itakuwa mwenyeji wa JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tatu ya Ligi Kuu msimu wa 2026/27. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, kuanzia saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

kufuatia mchezo huu wa leo “Je, Yanga itaendelea na kasi yake dhidi ya JKT Tanzania, au JKT inaweza kuwapa Wananchi mshangao leo?”




 

Attachments

  • 1787561759495.png
    4.2 MB · Views: 18
Yanga 6 JKT 0
 
Mbinu huwa hazibadilishwi hovyo kama nguo, mbinu hubadilishwa baada ya approach A kufeli. Sasa anapata matokeo unataka abadilishe mbinu ili itokee nini?
Mi mwenyewe nashangaa.
 
Wanajuta kumvunja pacome. Yanga imeamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…