Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Vipi PSG na ligi yao na bado kimataifa inafanya vizuriLigi ya Tanzania inakosa maana kwani inabaki ya mafarasi wawili tu huku wengine wakiwa ni punda tu.
Kama hii ndio ligi ya tano kwa ubora Afrika basi ni kweli Afrika mpira umekufa kabisa na ndio maana Afrika haiwezi kufanya vizuri iwe kwenye kombe la vilabu duniani au kombe la soka la dunia.
Streka la boli Osimhen Doumbia anaendeleaje hapo ukoloni?Ligi ya Tanzania inakosa maana kwani inabaki ya mafarasi wawili tu huku wengine wakiwa ni punda tu.
Kama hii ndio ligi ya tano kwa ubora Afrika basi ni kweli Afrika mpira umekufa kabisa na ndio maana Afrika haiwezi kufanya vizuri iwe kwenye kombe la vilabu duniani au kombe la soka la dunia.
kama mapunda mbona wapo wengi kila ligi.Ligi ya Tanzania inakosa maana kwani inabaki ya mafarasi wawili tu huku wengine wakiwa ni punda tu.
Kama hii ndio ligi ya tano kwa ubora Afrika basi ni kweli Afrika mpira umekufa kabisa na ndio maana Afrika haiwezi kufanya vizuri iwe kwenye kombe la vilabu duniani au kombe la soka la dunia.
Ujerumani ni Timu moja na Klabu Bingwa wanafanya vizuri hata Spain ni timu tatu na zinafanya vizuri mashindano yote hoja yako haina mashiko SA Mamelodi wamechukua kombe miaka karibu minne mfukulizo na Klabu Bingwa wamebeba huko Misti vivo hivyo unataka mifano zaidi ya mpira wa miguu inaonekana umeingia leo tu..Ligi ya Tanzania inakosa maana kwani inabaki ya mafarasi wawili tu huku wengine wakiwa ni punda tu.
Kama hii ndio ligi ya tano kwa ubora Afrika basi ni kweli Afrika mpira umekufa kabisa na ndio maana Afrika haiwezi kufanya vizuri iwe kwenye kombe la vilabu duniani au kombe la soka la dunia.
Dada punguza tabia za uke wenza.....Kiukweli mfumo wake ni ule ule mechi zote. Kocha Hana mbinu akikutana na timu za klabu bingwa atafungwa mapema sana.
Huwa mnafanya utafiti ndio mnaandika au ukit9ka kimya ndio unajisikia kuandika?. Bayern anafanyaje Ugerman?, psg huko France anafanjake?.Ligi ya Tanzania inakosa maana kwani inabaki ya mafarasi wawili tu huku wengine wakiwa ni punda tu.
Kama hii ndio ligi ya tano kwa ubora Afrika basi ni kweli Afrika mpira umekufa kabisa na ndio maana Afrika haiwezi kufanya vizuri iwe kwenye kombe la vilabu duniani au kombe la soka la dunia.
Uwa unafuatilia bundesliga,ligi namba 4 kwa ubora duniani?Ligi ya Tanzania inakosa maana kwani inabaki ya mafarasi wawili tu huku wengine wakiwa ni punda tu.
Kama hii ndio ligi ya tano kwa ubora Afrika basi ni kweli Afrika mpira umekufa kabisa na ndio maana Afrika haiwezi kufanya vizuri iwe kwenye kombe la vilabu duniani au kombe la soka la dunia.
Ndio.Uwa unafuatilia bundesliga,ligi namba 4 kwa ubora duniani?
Hata utoe mifano gani lakini ukweli unabaki palepale kwamba mpira wa Tanzania ni wa kisiasa tu hamna lolote hapo.Huwa mnafanya utafiti ndio mnaandika au ukit9ka kimya ndio unajisikia kuandika?. Bayern anafanyaje Ugerman?, psg huko France anafanjake?.
Nilianza kushabikia mpira wewe hata haijajulikana utazaliwa.Ujerumani ni Timu moja na Klabu Bingwa wanafanya vizuri hata Spain ni timu tatu na zinafanya vizuri mashindano yote hoja yako haina mashiko SA Mamelodi wamechukua kombe miaka karibu minne mfukulizo na Klabu Bingwa wamebeba huko Misti vivo hivyo unataka mifano zaidi ya mpira wa miguu inaonekana umeingia leo tu..
Sidhani kama unachongea kina ukweli mazee ongelea mpira tu mimi nimeanza kuangalia mpira kwa black n white TV ukiangalia Madrid ina jezi nyeupe haujui hata wachezaji wake unawaona kama butterfly mambo ya kujiona umeona vitu kabla labda ukiwa kijijini kwenu upo klabu ya Pombe sio kwa watu usiowajua harafu unatoa fatwa..Nilianza kushabikia mpira wewe hata haijajulikana utazaliwa.
Hivyo vilabu vya Ulaya unavyovisema angalia overall performance zao ndani na nje halafu linganisha na hivi uchwara vya kwenu uone kama vinaendana.
Huyo ni Simba muache ana hasira kuliko kawaida.Sidhani kama unachongea kina ukweli mazee ongelea mpira tu mimi nimeanza kuangalia mpira kwa black n white TV ukiangalia Madrid ina jezi nyeupe haujui hata wachezaji wake unawaona kama butterfly mambo ya kujiona umeona vitu kabla labda ukiwa kijijini kwenu upo klabu ya Pombe sio kwa watu usiowajua harafu unatoa fatwa..
Yanga bingwa