Full Time: Yanga 5-0 JKT Tanzania | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025

Mechi ipo live

Salama zinatumwa

Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania

Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan

 
Aaah mmmh oooh mi napita ila la kusema timu zibakize viporo kisa mech za kimataifa na wakat uwezekano wa kucheza ulikuwepo hy haijajaa sawa
 
Depu amekuwa na muendelezo mzuri toka ajiunge na yanga..
 
Depu ni fire ndiye mchezaji ninayemkubali sana pale Yanga na ndio maana nimeweka picha yake kama profile. Hakya nani makolo lazima walale na viatu machi mosi.
 
Yamkahaa
 

Attachments

  • 1772035130619.jpg
    223 KB · Views: 28
Mnatubomoleaa ligii yetuu. Yanga

Alisikika mwehuu mmoja hukoododomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…