GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Mbona mapema sana, si mlikuwa mnasema Boka hamna kituHuyu kibabage nae hakuna mchezaji hapa
Na watakuja tena kucheza mpira huu huu bila Bacca na Job tutegemee defeat 3 hii imeanza bado 2Mamaee si bora tungefungwa na singida hiziπ π π π
Expire date imeisha π€£Kweli dawa z uganga zimefeli
Wahamie ungujaHa ha ha ha kesho lazima Yanga watatoa press ya kuhama Azam complex
Hii hali ni ngumu kuizoea kaka.JIkaze kama Walivyojikaza Simba mwaka mzima mpaka wamezoea
Leo kuna magoli mengi nashauri tabora wagome kuingiza timu waepuke aibu!
Chura kalainikaKuna chura kafumuliwa
Dube alietoa mawazo asajiliwe ni 00000Chama
Dube na baleke mnatuhujumu tuachieni timu yetu