Sana ni aibu
Waotee goli 1 sio ma 3
Wengine hapa mashabiki wa Yanga na Madrid tunazidi kuumia
WatapigwA TuBADO 1 ZIFIKE 4
Usiseme hivyo mkuu unatutisha, kwanza dakika ya ngapi?Jmn wamepata kimoja, mara pah zinarudi 😆😆😆😆
Tumejisahau kidogo tu ndiyo mtuhukumu hivi🥲