Mkuu mbona Mlikuwa hamshambuliwi. Hii sababu mufirisi.Baca na Job kutokuwepo kunaonyesha wazi safu ya ulinzi ya Yanga imepwaya kabisa
Vumilia mzeeHapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.
Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
Chief umefika mbali sanaHapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.
Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
Hatimaye aziziki kawa la aziiizzzzz habibty from dubaiiiManzi alikuja kutia nuksi
Usiingize mapenzi ukiwa kwenye peak....
Ona sasaaaπ₯΄