Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Mwigulu tawi jengine hili liko sokoni baada ya timu yako mama kufungwa fanya kama kawaida yako nunua tabora hamishia singida
akiinunua na kuihamishia singida namshauri jina la timu liwe singida wonderers fc na kwenye nembo ya timu kitungu kiwepo badala ya alizeti iliyozoeleka kwenye timu zake
 
Ukweli lazima usemwe. Uongozi usippchukua hatua za haraka, mambo yanaweza kuharibika zaidi. Kiufupi kocha Gamondi mbinu zake kwa sasa zinasomeka kirahisi kwa wapinzani wake.
On top of that, kuna baadhi ya sajili zimefanyika ambazo hazikuwa mapendekezo ya mwalimu.

Wakati tukilaumu, muhimu tukumbuke hilo kwenye upande wa uongozi.
 
Gamond ana wachezaji ambao anashindwa kuwatumia. Hizi mechi mbili anapaswa kuzichukulia kama some, tangu ligi ianze Yanga ina shida hasa kumalizia mipira ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…