Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Mungu Nifundishe KunyamazaHii mechi mbona imechezwa jana
Simba aiwezi kufungwa na wala urojoSimba fanyeni mfungwe na Mlandege hiyo kesho ili msikutane na Yanga mara mbili ndani ya wiki mbili. Ni hatari sana kwenu mashabiki na pia kwa Mwenyekiti Mangungu.
Utopolo πΈ lazima kiwalambe game ya dabi si mlishangilia droo awamu hii mtapigwa kama NgomaKuna kitu linaenda kufa tarehe 29 na tarehe 3
Ila kocha wa Yanga kwenye kufanya sub sahihi ni kipengele, jana kipindi cha pili timu akaiua kabisaSimba fanyeni mfungwe na Mlandege hiyo kesho ili msikutane na Yanga mara mbili ndani ya wiki mbili. Ni hatari sana kwenu mashabiki na pia kwa Mwenyekiti Mangungu.
Sahihi kabisa. Mfano sub ya Dogo Shekhan kwa jana ilikuwa ni ya hovyo kupindukia.Ila kocha wa Yanga kwenye kufanya sub sahihi ni kipengele, jana kipindi cha pili timu akaiua kabisa
Kabisa yaani Mkuu.Kuna kitu linaenda kufa tarehe 29 na tarehe 3
Mzee wa watu alishaanza kunenepa. Soon wataanza kumsakama tena. πWimbo wa Mangungu ulipotea sana soon unaenda ku trend zaida ya Finale ya Alikiba
Kumbe.Simba aiwezi kufungwa na wala urojo
Sisiii ndoyangaaaaπππ€π€ππππ