Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia
Mechi bado ipo live
Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya NBC baada ya leo kuondoka na ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri dhidi ya Coastal Union na kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC