Full Time: Yanga SC 3-0 Coastal Union | Ligi kuu NBC | KMC Complex | Mei 9, 2026

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia

Mechi bado ipo live

Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya NBC baada ya leo kuondoka na ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri dhidi ya Coastal Union na kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC
 
Ila bi chura na wauaji wake wametuharibia sana soka la nchini. Yanga sio ya kuanzishiwa uzi muda nusu saa mechi ikiwa inaendelea daah
 
coastal Union ni SIMBA mtoto
 
Mpira nimeusikiliza kupitia matangazo ya redio TBC Taifa,Kiukweli JESSE JOHN ndiye mtangazi wa muda wote wa mpira hapa nchini kwa upande ma redio.
 
Mpira nimeusikiliza kupitia matangazo ya redio TBC Taifa,Kiukweli JESSE JOHN ndiye mtangazaji bora wa muda wote GOAT wa mpira hapa nchini kwa upande ma redio.
 
Mpira nimeusikiliza kupitia matangazo ya redio TBC Taifa,Kiukweli JESSE JOHN ndiye mtangazaji bora wa muda wote GOAT wa mpira hapa nchini kwa upande ma redio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…