Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Hauja wahi kuona matokeo kama haya tangu ujue football?Fixing match
Aloo kama rede😅Yanga Sc leo wapo uwanji wakiwakaribisha Mbeya City mchezo unachezwa uwanja wa KMC Complex saa 12:30 jioni
Mechi imeshaanza karibu kuenjoy soka.
Dube anatupia goli la kwanza kwa Yanga
Pacome anafunga goli la pili
Dakika 16, Max Mpia anapiga chuma ya 3
Pacome anaweka chuma 4 kwa upande wa Yanga
Dakika 90 zimekamilika Yanga wanaondoka na alama 3 na magoli mengii sana!
Game on fire kwa hiii Yanga kazi ipo
Mohamed Hussen anaweka chuma ya 5
Dube anafunga goli la 6
Yanga bingwa