Full Time: Yanga yaendeleza moto, yaibamiza Namungo 3-1 | Ligi Kuu NBC | KMC Complex | 25 Mei, 2026

Full Time: Yanga yaendeleza moto, yaibamiza Namungo 3-1 | Ligi Kuu NBC | KMC Complex | 25 Mei, 2026

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Yanga imeendelea kuwa na moto, inautaka ubingwa "wake”, hiyo ni baada ya kuichapa Namuongo, hivyo kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Simba ambayo inashika nafasi ya pili.

Mechi ipo live Yanga yupo mbele hadi sasa

#############



Allan Okello anaweka chuma ya 3

Yanga wamefanikiwa kuondoka na ushindi wa magoli matatu kwa sifuri dhidi ya Namungo katika mchezo wa ligi kuu NBC.

Ushindi huu wa Yanga unawarudisha nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi kuu ya NBC na kufikisha alama 60

Screenshot 2026-05-25 202554.png
 
Mimi naona Mzee Mangungu aturudishie timu yetu. Haiwezekani jana tulikuwa tunaongoza ligi; halafu leo eti tumeshushwa mpaka nafasi ya pili.
 
Back
Top Bottom