FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Tunashinda mbona hata simba alitanguliwa mechi zake mbili za mwisho lakini ikashinda
 
Mazembe kama ilivyojina lake

Wanafanya uzembe uzembe halafu mwisho wakifungwa wanaanza kulalamika.
 
Utopolo hakuna team hapa leo ndio nimeamin yanga huwa wanashinda kwa kuhonga team mpinzani wakikutana na team zinazo jiweza kiuchumi hali ndio inakua hivi
 
Back
Top Bottom