njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Ndo tunamwamini mkuukipa ndo anapiga
Uto bwanaTunashinda mbona hata simba alitanguliwa mechi zake mbili za mwisho lakini ikashinda
Habari ndiyo hiyo mkuu. Kipato wa MAZEMBE ndiyo kamtoboa DiarraHee Kipa kiaje?
Unamaana Kipa kaacha goli kaja kupiga penalty?
😁😁
Mnachomoa nini ?Hii mechi Yanga tunachomoa na kushinda juu, subirini
Kawa km samattadiara kwa sasa ana gundu
Au sioTuwe wazalendo