Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #801
Twende dukani kwake kesho kununua nguo 😎😎Leo nina furaha sanaaaa, Mzize kajua kunifurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende dukani kwake kesho kununua nguo 😎😎Leo nina furaha sanaaaa, Mzize kajua kunifurahisha
Simba wanaogopa sana maana ushindi wa 5 unakaribiaKasongo yeyeeee mobali na ngaii
Kama aliyopo Simba SC kwenye kundi lake mwanetu 😀Uto wako nafasi ya ngapi kwenye group?
Ndo vzr mtani sasa nikihamia utopoloni nani atawapa changamoto....Tutakupiga mawe uko ukoloni
Japo roho inauma
Ilikua ya motooo...View attachment 3192391
Kolo aliguswa akaachia
Hii ndio mazembe ninayo ijua Mimi ndugu yangu 😃Ilikua ya motooo...
Mnawakumbuka hao?.View attachment 3192391
Kolo aliguswa akaachia
Hii hata ukifuta nimeripoti 😀😃😃😃 soon unafikiwa mwanetuUtopolo asipofungwa leo nipigwe ban wiki 1
Walikuwa wamoto sana haoMnawakumbuka hao?.
Baki huko Kwa Makolo, nikirusha Jiwe likakupata usinilaumuNdo vzr mtani sasa nikihamia utopoloni nani atawapa changamoto....
Lakini mwisho wa yote tukatinga robo finale mr....View attachment 3192391
Kolo aliguswa akaachia
We nae ukishauza ndizi malindi unakuja kufanya fujo humuAcha ufala wewe tangu lini club ya taifa ikawa vyura fc litimu lisilo hata na uwezo wa kujisimamia 😂
Mimi tena hapa umekutana na chuma cha pua...Baki huko Kwa Makolo, nikirusha Jiwe likakupata usinilaumu
😀😃😃Lakini mwisho wa yote tukatinga robo finale mr....
😅🤣😂Mimi tena hapa umekutana na chuma cha pua...