FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Janaa nilishudiaa Yanga Bora Sanaa utafikiri wapo 19 uwanjani.Mwanzoni mwa pichaa tu nikamshitua rafiki yangu "Yanga hawachekii na wowoote" Kuna baraa laja. Ogopaa sana Yanga wakiingia wamenunaaa juaa wanasumuu kaliii,hili analijua Belouzdad, USM alger kwao na Jana kalijua Kungulu. Sijutii kua Young Africans 🇹🇿💪🥰
 
Wewe ni shabiki matokeo. Kwa mzani ulivyokaa hadi sasa huwezi kuita ndoto Yanga kufuzu robo fainali.
Hakuna mahali mtaenda, hapa tujadili vita yenu na mazembe kuitafuta nafasi ya 3.
 
Anachezea As Vita ya Congo anacheza winger zote mbili na striker wa kati jamaa kifaa hasa na anajua kufunga babu Zimbwe na Kapombe watavunjika migongo jamaa ana speed balaa..
Zimbwe anacheza kushoto, Kapombe kulia...kwahiyo hilo garasa lenu litawavunja migongo wote kivipi!? Kwamba litakuwa likikimbia zigzag kushoto na kulia!? Basi mmesajili mwehu.
 
Mpira umeanza kufatilia lini wewe kolo?
Huyo ni winger anaetembea winger zote mbili acha kuaonyesha ujinga wako au mpira unasikiliza redioni tu et..
 
😂😂😂 Yanga inampa kila mtu burudani aisee
 
FADLU ajifunze kwa YANGA namna wanavvyojaa haraka ndani ya box la mpinzani...
Forward icheze team work ..badala ya kila mmoja kukimbia kimbia tu ...

Otherwise simba inashinda but ...
 
Kuna mchezaji wao amesajiliwa hivi karibuni kila mpira yeye anapiga golini tu. Aje kula darasa
 
makolo bhana, tulipofungwa magoli ya kizembe dhidi ya AL HILAL wakasema tutamaliza wa mwisho ktk group letu.

tukafungwa tena na MC ALGERS wakashindilia msumali tutamaliza wa mwisho with no any point,manake TPMAZEMBE atatupiga nje ndani.

baada ya goli la mazembe kipindi cha kwanza wakaendelea kufurahia,DUBE akatupia,kelele zikawa nyingi,bahati,mtamaliza na pointi moja,wakongo wamepoteana,nk

tumewachapa tena mazembe kelele za mbu watatu zinaendelea,
 
Na ya 5-0 unayakumbuka pia?
Na ndo Yanga ikajifunza, ikaamua kufumba midomo, na ikafanikiwa. Aibu iliyopo kwa sasa ndo hiyo. Landa historia ijirudie, tofauti na hapo, mlijipiga kifuani, mkafunzwa. Tufunzeni sasa ndo tunyamaze. KAtumbi alisema kila goli atalilipia milioni 10. Hizo 30 Zipo Yanga. Atakaeshinda hiyo mechi, ana zake milioni 400. Sasa washikaji kabla ya mechi wengine wanahapa wanyolewe kipara, wengine wahamie Yanga, wabak huko huko waliko. Kikubwa, Yanga ikiamua,inafanya.
 
makolo bhana, tulipofungwa magoli ya kizembe dhidi ya AL HILAL wakasema tutamaliza wa mwisho ktk group letu.

tukafungwa tena na MC ALGERS wakashindilia msumali tutamaliza wa mwisho with no any point,manake TPMAZEMBE atatupiga nje ndani.

baada ya goli la mazembe kipindi cha kwanza wakaendelea kufurahia,DUBE akatupia,kelele zikawa nyingi,bahati,mtamaliza na pointi moja,wakongo wamepoteana,nk

tumewachapa tena mazembe kelele za mbu watatu zinaendelea,
Sasa mlitaka tuwalambee..
Mlikua wa mwisho huo ndo ukweli na mtabakia hapo hapo makundi...
 
Mc Alger achapwe, halafu akija bongo tumfanye kama kaka zao mwaka jana, 3-0 tufuzu jumla.
 
Anachezea As Vita ya Congo anacheza winger zote mbili na striker wa kati jamaa kifaa hasa na anajua kufunga babu Zimbwe na Kapombe watavunjika migongo jamaa ana speed balaa..
Ahsante sana Mkuu Right eye 👏 Yes anachezea hapo. Alivyovaa wee Mkongoman bandugu yangu kabisa 😅😅😅😅😅😅 nimecheka hapo watakaovunjwa migongo, tunamsuribia kwa hamu.
 
Back
Top Bottom