FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Simba na yanga zinatumiwa kisiasa kuwapumbaza watanzania wasahau kuhusu katiba mpya na maisha bora. Mazembe pigeni hayo matakataka yatolewe kwenye mashindano. Masiki ya kutupwa ukiyawekea simba na yanga tu yanasahau umasikini yanasahau kutekwa yanasahau kila kitu kama matahira.

Ee bana ee...

We achana nazo hizo Simba na Yanga..
 
Hii option tamu sahz akishinda yoyote tunashangilia kwenye kona😹
 

Attachments

  • EC6E03E1-D403-4B0A-940B-B58EDD6A7262.png
    EC6E03E1-D403-4B0A-940B-B58EDD6A7262.png
    195.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom