FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Simba, Yanga na Bongo fleva zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasahau haki zao za msingi kama katiba mpya, tume huru na utawala bora. Ukiyawekea simba na yanga tu yanasahau kila kitu,

Eeee Tp Mazembe fungeni haya matakataka yatolewe, Simba nayo itolewe.
Nenda kagongwe na wachawi tuachie sisi mambo ya mpira
 
Gusa achia tupate pesa
IMG_4825.jpeg
 
Liverpool wanamuhitaji usiku na mchana ila Hersi hataki kumuuza... sijui kwanini anambania huyu kijana..


...Ni Hayo Tu!!
Na Liverpool pale anaingia direct kikosi cha kwanza...DARWIN NUNES Benchi litamuhusu wonderkid akitua pale.
 
Back
Top Bottom