FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

TP Mazembe kuna Mchezaji anaitwa “Patent”. Sasa sijui ni patent namba gani na ni ya uvumbuzi wa nini
 
Dakika ya 84' ya mchezo :

Yanga SC 3 - 1 TP Mazembe

Mudhahir Yahya won a freekick, Dira takes it
 
Hawa Mazembe ni wazembe mpaka basii hawana changamoto yoyote. Yanga wanakosa utimamu tu wakimchezo ila hili game walitakiwa kushinda zaidi ya goli saba.
 
Ugomvi hapa kati ya benchi la Yanga na Mazembe. Naona ndo kitu Mazembe wanaweza kwa leo.
 
Dakika ya 87' ya mchezo :

Yanga 3 - 1 TP Mazembe

Final 6 minutes remaining, it is a mental thing as the final minutes are ticking
 
Dakika ya 88' ya mchezo :

Yanga 3 - 1 TP Mazembe

Animated Young africans bench is cautioned
 
Back
Top Bottom