princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Manake apo mzize asingekuwepo ingekua 1 - 1kwenye hii mechi magoli ya Dube na Kiaziz yamekosekana mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manake apo mzize asingekuwepo ingekua 1 - 1kwenye hii mechi magoli ya Dube na Kiaziz yamekosekana mengi
Yani Aheri nafasi zisitengenezwe kuliko kosa kosaYanga ilistahili kushinda goli 7, Dube ajitathmini
Aziz kakosa kama matatu dube mawiliManake apo mzize asingekuwepo ingekua 1 - 1
Ilikua ni vita mawe kwa nini wewe unaingia na visu na mapanga? Sijapenda unatumia silaha kali mnoSasa Mazembe ana tofauti gani na Simba akikutana na Yanga
morali ya yanga ilianza kushukaGamondi alikuwa anahujumu timu
Ahahahahahaaa..!!! Unateseka ukiwa wapi mtani?Hawa vyura wanaweza vuka makundi kimiujiza hivi hivi
hakuna muujiza mpira unapigwa wazi hakuna penati hakuna Tatu MalogoHawa vyura wanaweza vuka makundi kimiujiza hivi hivi
Unatesekea wapi?Ukiona Yanga yupo mkiani kwenye msimamo wa CAFCL jua kakosa wa kumhonga.
Hao unaowafagilia kwamba ni nembo ya mpira wa Tanzania unajitusi na kuwatusi vyura wote.
UsituhusisheUto leo tuliwaombea mpate ushindi😁😁😁 Msiache kutuombea hapo kesho ili nasi tuwafanyie kitu kibaya waarabu