Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo, unatesekea wapi?Leo tena mnafungwa bila shuruti nyie mbweha kasoro mikia. Kesho mnyama anaonesha ubwela wake kwa waarabu kama kawaida. Mnyama oyeeeeeeeeeeeee!
Penalty sio size yenu hamjui kuzipiga acha mafundi wafumue nyavu....hakuna muujiza mpira unapigwa wazi hakuna penati hakuna Tatu Malogo
Moderator, mtoto kautaka, mpe..!!Yanga akishinda nipigwe bann ya wiki!!
sasa sisi utupe penati ya nini ikiwa dk 90 zinatutoshaPenalty sio size yenu hamjui kuzipiga acha mafundi wafumue nyavu....
Mumshukuru sana kayoko.kwa kutotoa red kwa hamza na penalti ya musonda,all in all match kayoko atokuwepo mtegemee kipigo cha mbwa mwizi kukipataSema akikutana na Kayoko
Siteseki ila naona kuna muujiza huku....Ahahahahahaaa..!!! Unateseka ukiwa wapi mtani?
Kwamba ni wa 51mba au?Mzize kaokoa jahazi hapa
Pambaneni na vipoint vyenu 4 nyie vyura....sasa sisi utupe penati ya nini ikiwa dk 90 zinatutosha
Asante kwa ushauriPiga sindano za kutosha twende kwao
Mengi yapi? Mbona hatuyaoni?.Mazembe ilibidi apigwe tano, Dube na Aziz wajitafakari
Mc Alger wana magoli mengi
View attachment 3192263
Hakuna miujiza ni mipango tu bila kusahau hesabu za tuki, waki, wata, tunge.Hawa vyura wanaweza vuka makundi kimiujiza hivi hivi
HakikaYanga ndiyo nembo ya mpira wa Tanzania