valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Kasongo yeyeeee mobali na ngaiiYanga akishinda hii mechi basi atashinda mechi zote zilizoko mbele yake zikiwemo za ligi ya almas kasongo na Karim boimanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasongo yeyeeee mobali na ngaiiYanga akishinda hii mechi basi atashinda mechi zote zilizoko mbele yake zikiwemo za ligi ya almas kasongo na Karim boimanda
TP Mazembe wamecheza semi finalMazembe hii si ya kina 2019-2020, team disorganized ,overrun, hawana hata backup plan uwanjani? Hawa hata tukiwapa singida hawaend mahali
Nilipata ajali ya pikipiki nimechubuka sana ila sijaumia sana mkuu nilikuwa naenda uwanjani Leo saa 8 ndio nimepata majanga mkuuMwanetu vipi? hakuna updates yoyote
Asantee sana ndugu yanguVincenzo Jr hongera mtani
Mbona Kinyonge 😅Vincenzo Jr hongera mtani
Wachezaji walioenda nao semi final kuna mmoja hata amecheza mechi ya leo?TP Mazembe wamecheza semi final
Wewe team lako liko UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
Pole sana sana!Siku zinakimbia aisee,ishafika siku ya Yanga kuendelea ku maintain point yake Moja.
Atakaekuwa na link a share nasi mapema.
Lolote baya liwakute.
Kwani Kuna wachezaji wanabaki kwenye team MILELEWachezaji walioenda nao semi final kuna mmoja hata amecheza mechi ya leo?
Leta timu yako na wewe basiPiga hao mbwa Koko wanadhani hao ni Prison 🤪😆
Hasara za kubebwa zinajionesh
Hatari aiseee,kapita na 20Hahaaa mkeka umechanika
Kabisa ...Hawa vyura wanaweza vuka makundi kimiujiza hivi hivi
Wewe shoga tu.
Hayo ya kuabakisha wachezaji ni maamuzi yao acha ujinga.Wachezaji walioenda nao semi final kuna mmoja hata amecheza mechi ya leo?
Wewe ni shabiki matokeo. Kwa mzani ulivyokaa hadi sasa huwezi kuita ndoto Yanga kufuzu robo fainali.Hiyo ndoto hata wasiote.
Kaka usitume nguvu sana huyo hayupo timamuWewe ni shabiki matokeo. Kwa mzani ulivyokaa hadi sasa huwezi kuita ndoto Yanga kufuzu robo fainali.
Mbumbumbu watalia
Ungeweka 3 😃😀Hatari aiseee,kapita na 20
UsitufokeeMods makolo Hata msipoweka LIVE hatuwabembelezi