Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #721
ππππππHawa vyura wanaweza vuka makundi kimiujiza hivi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππHawa vyura wanaweza vuka makundi kimiujiza hivi hivi
ni kweli hawabaki, but kutengeneza team mpya kwa na kufikia viwango vile vile ni safari ndefu, waulize man city iliwachukua muda gani kufikia mafanikio, kutengeneza dream teamKwani Kuna wachezaji wanabaki kwenye team MILELE
Hujui kuhama wachezaji ni jambo la kawaida
Kikubwa point tatu mkali
Mzee unaongea ishu za 13 years back?π.
Furaha yangu imekatizwa Timu yenu imeshinda viwete wenzaoLeta timu yako na wewe basi
This is valid dude..sio 13 years ago.π
πππFuraha yangu imekatizwa Timu yenu imeshinda viwete wenzao
In fact Huwa nachukia sana Yanga na Simba wakishinda maana hizo Timu zinabebwa Kwa kuonea Timu zingine
Mashindano ya akina mama ambayo Makolo wanaoshiriki ni lini?
"Viwete wenzao"Furaha yangu imekatizwa Timu yenu imeshinda viwete wenzao
In fact Huwa nachukia sana Yanga na Simba wakishinda maana hizo Timu zinabebwa Kwa kuonea Timu zingine
Exactly π―This is valid dude..sio 13 years ago.π
Mbona KinyongeHongereni .. ngoja tugange yajayo...
Ameondokewa na wachezaji muhimu 11 ,wamesalia wabovu kama kina Dube,Pacome nk"Viwete wenzao"
Mwaka jana Tp mazembe alifika semi mzee wangu.. wakati team zetu ni ndoto kufika.
That's own goal mtfKikubwa point tatu mkali
Kunyaaa...ππππ πMazembe jipigieni hao vyura kama ngoma