Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Mkoa.Zanzibar ni nchi ama sio nchi?
Kwanini mkuuIle mechi na Kenya imetia doa.
Mapinduzi ya umwagaji damu ya watu wasio na hatia hayawezi kuwa matukufu.Ushindi Huo Unaendelea Kuanikiza Mapinduzi Matukufu Ya Zanzibar
Haipo hivyo kwenye mashindano yanayofanyika sehemu moja.Hapo juu ilitakiwa jina la Zanzibar lianze mwanzo maana ndio wenyeji.