Full Time :Zanzibar Heroes Ndio Mabingwa Wa Mapindizi Cup 2025

Full Time :Zanzibar Heroes Ndio Mabingwa Wa Mapindizi Cup 2025

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
FULL TIME: Zanzibar Heroes ndiyo mabingwa wa MapinduziCup2025

Wametwa Ubingwa Huo Mara Baada Ya Kuibuka Na Ushindi Wa Magoli 2-1 Mara Baada Ya Dakika 90.

Ushindi Huo Unaendelea Kuanikiza Mapinduzi Matukufu Ya Zanzibar

1736796320185.jpg
 
Hapo juu ilitakiwa jina la Zanzibar lianze mwanzo maana ndio wenyeji.
 
Hapo juu ilitakiwa jina la Zanzibar lianze mwanzo maana ndio wenyeji.
Haipo hivyo kwenye mashindano yanayofanyika sehemu moja.

Kombe la dunia mwenyeji anavaaga jezi za ugenini baadhi ya mechi.
 
Back
Top Bottom