Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Kama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Hakuna tajiri atakae kulipa mshahara mkubwa, Mshahara ni utumwa anakupa kidogo ili kesho urudi tena akikupa kingi kesho utajenga kiwanda chako hautarudi.

Uwepo wa sekta Binafsi daima hautakuja kufanya mishahara na ujira kupanda wao siku zote wako after profit hvyo watafanya vyovyote vile kuzidi kulioa mishahara midogo.
Jinsi sekta binafsi inavyokua ndivyo ujira na mishahara inazidi kushuka
 
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Imeonyeshwa kwa ndani tu Mkuu wewe umejuaje kma sio ya masaki?

Au wewe ndye motto wa bhakresa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…