Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

hahaha..usi-panic kwanza sio Bakiressa=bakhresa.. nimesha-kujuza wewe ni mshezi/upuuzi na una mtindio wa ubongo.. .. Jaribu kupevuka ki-fikra na kiakili zaidi ya hapo utazidi kuonekana mwendawazimu na mpuuzi na kuambulia maneno machafu..Je kwa point zako dhaifu na nyepesi hudhani kwamba na wewe umejiwekea ukuta mzito katika jamii yako kwa lugha unayotumia..( kwa sisi wa standard 7).. Ndio maana nakuambia hujui na hujui kwamba hujui.Ovaaaaaaaaaaa..

Mbona unakasilika? Wether Bakiressa or Bakiressa doesn't it matter? WACHA kuwa mutumwa. Mali bila Mali wote kifo kinatungoja na vyote vitabski hapa hapa duniani. WACHA hasira za kijinga. Tunapigania mini Mali za mwarabu? pls get a life, that was my only opinion. Let us agree to disagree.
 
cheki unavyo-jichanganya... wether?????? ..wewe hujui na hujui kwamba hujui ndio ugonjwa wako mkubwa unaotafuna ubongo wako.. Ni mtumwa usiyejitambua..haha Mama ZERO BRAIN..
 
cheki unavyo-jichanganya ..wewe hujui na hujui kwamba hujui ndio ugonjwa wako mkubwa unaotafuna ubongo wako.. Ni mtumwa usiyejitambua..haha Mama ZERO BRAIN..
Mbona unakasilika? Wether Bakiressa or Bakiressa doesn't it matter? WACHA kuwa mutumwa. Mali bila Mali wote kifo kinatungoja na vyote vitabski hapa hapa duniani. WACHA hasira za kijinga. Tunapigania mini Mali za mwarabu? pls get a life, that was my only opinion. Let us agree to disagree.
mutumwa=mtumwa.. vitabski=vitabaki.. ndio maana nakwambia wewe ni mtu wa hovyo hovyo.. Mama ZERO BRAIN..
 
Maisha haya kutoka kuwa fundi viatu,mpiga kiwi barabarani mpaka kumiliki migari hiyo hatari

Dah ukisikia zari la mentali ndio hiyo

Msidanganyike kihivyo na hizo stori za Kudanganywa huko Vijiweni. Utajiri wake huyo Jamaa nyuma yake yupo Shemeji / Mpwae Dkt. Salim Ahmed Salim aliyekuwa Boss wa AOU zamani na ' macheo ' kibao nchini Tanzania miaka hiyo na ndiyo Yeye aliyemtengenezea Bahkhressa njia ya kutoka hadi kuwa hivi alipo. Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu naomba tu niishie hapa tafadhali na niwatakieni uchangiaji mwema huku mkiendelea kunogeshana na stori zenu za uwongo na kweli za Vijiweni.
 
Back
Top Bottom