Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Utajiri unazidiana. Ili Bakhresa ampate Dangote basi ajichangechange mara kumi ya sasa
 
Ni jambo zuri,lakin wawe makin kupost mambo km haya kwan serikal hii inawachukia matajiri.
 
Yusuf huyo ndo anapendaga show off kidogo,mzee bakhresa picha zake tu zilizoko mtaani n za kuhesabu seuze video.jamaa yuko reclusive sana kama bosi wa ZARA Amancio Ortega.Alafu bakhresa kaanza kuhustle tokea miaka ya sabini huko,kwahyo kuwa na hela mingi ni haki yake.Kama huamini anzisha mradi wako ukomae nao walau miaka 15-20 uone kama hutafanikiwa
 
Noma sana yani, kwa hali hii ya kuridhika na mishahara ya mil.3 tutafika kweli huko? Kweli ujasiriamali ndio msema kweli wazee
 
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…