Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Mkuu wanalipwa hela ndogo tu usipotoshe

Ila ukiajiriwa hasa Africa usitegemee malipo makubwa
Kuajiriwa ni fursa ya mwajiri kujinufaisha

Hao ni wa chini na usikute hata vyeti vya 4 hawana,
Ninavyojua mimi wafanyakazi wake wengi wana gudlife tu na kuna wengine mpaka nyumba wanalipiwa na kampuni basi tu binadamu huwa haturidhiki!
 
Masaki, obey, mikocheni, posta akienda mbali sana airport kupanda ndege. Au ulifikiri anafikaga mbezi huko mabondeni malamba mawili?
Nimeuliza maksudi, nikitegemea jibu kama hili!
Kama ndo anaendesha huko basi ni MISUSE ya hizo gari, hizo ni sports/ perfomance cars. Unakaa Birmingham na unafanya kazi london, unateleza na gari yako ktk motorway ya M40 spidi nyingi! Sio gari ya kuendesha spidi <120km per hr!
Hata hivyo ni heshima kwake kuwa nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…