Full video: sakata la mama wema na manfongo, soudy brown alivyojibiwa na mama wema.

[emoji15] [emoji15] kumbe ubovu wa maadili unaanzia kwenye shina la familia!
[emoji33] ukiwa na mama mke wa namna hii ya mama wema, inahitaji moyo sanaaa
 
Ebu tujuzeni beef lilianzaje kati ya Mama wema na ManFongo? Aliongea nini kwenye gari la FIESTA?
 
Ila huyu sudi ipo siku atapigwa au atatukanw redion live yaan sidhan km ni adabu pia kumhoji mzaz yoyte mambo yasiyokuhusu et kazi,mm naona anapokwend pabaya mama wema kamjibu uzur sana,ingawa mm wema huwa simuelew kbsaaaa mambo y mwanae yy yuko mbele
Sudy ptyuuuuu
 
Mkuu tofautisha, sudi ni mwanahabari ana haki ya kuhoji chochote, mama wema alijizaa kabisa Kwa wema, ndo maana balozi sepetu alimshindwa huyo mama, hajatulia kabisa .
 
Ila huyu sudi ipo siku atapigwa au atatukanw redion live yaan sidhan km ni adabu pia kumhoji mzaz yoyte mambo yasiyokuhusu et kazi,mm naona anapokwend pabaya mama wema kamjibu uzur sana,ingawa mm wema huwa simuelew kbsaaaa mambo y mwanae yy yuko mbele
Sudy ptyuuuuu
Mama mtu mzima anagombana na kijana mdogo kwenye media halafu alaumiwe Soudy? Soudy B hiyo ndio kazi yake, mambo yote ya design hiyo yanamuhusu bila kujali yamefanywa na mzazi/ bibi/ aunt/ mpwa. La muhimu ni huyo mzazi aishi na ku-behave kama mzazi.
 
Naona na wewe utafurahi sku mama yako akiwekw kwenye media kama hvyo
Huyo mama ndio anà mapungufu yake lkn when it comes to mzaz sidhan kama n adabu kabsaaa
 
Kumbuka nazi haishindani na jiwe mkuu mzazi hakosei ata utambue, ivo sidhani kama ungeweza kuchukua hatua yoyote labda kwa mama wa kufikia
Kweli kabisa,lakini anachokifanaya huyu mama ni aibu kwa familia.
 
Huyu mama msh.nz kihuhalisia pia....ndomana hata ile nyumba yake sinza alikuwa na tAbia ya kupangisha mara mbili mbili....kwa Wakati mmoja.....tAbia yake siyo..

Ova
 
Ila huyu sudi ipo siku atapigwa au atatukanw redion live yaan sidhan km ni adabu pia kumhoji mzaz yoyte mambo yasiyokuhusu et kazi,mm naona anapokwend pabaya mama wema kamjibu uzur sana,ingawa mm wema huwa simuelew kbsaaaa mambo y mwanae yy yuko mbele
Sudy ptyuuuuu
Atukanwe mara ngapi???kashatukanwa sana tu but hiyo ni kazi yake....sioni anapokosea.Pili kumbuka anaporusha mahojiano redioni huwa ni recorded na edited...ndiyo maana kwenye sehemu zenye matusi huwa anaminya...mfano mzuri ni hii ya mama Sepenga...nilisikiliza audio yake youtube...lkn mwisho bibie alitukana kama kawaida yake but matusi yaliminywa....
 
Back
Top Bottom