Fully funded scholarship for undergraduate, Masters and PhD in Turkey

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya.
Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki.
Application ni simple sana just visit website Yao, na unaweza apply hata kama huna passport UKATUMIA national ID.
Mimi kama kawaida yangu ni kuwasaidia walio bize na wasiolewa kwa kuwafanyia application (ila sio bure)
Nitafute Whatsapp 0622905303

Age requirement ni kama ifuatavyo:
Undergraduate - under 21 years
Masters - under 30 years
Najua age wengi inatutema๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ila Nina wazo,
Mnaonaje wakati wa application kwenye supporting documents ukaweka "Appeal to equity regarding age requirement"
Then katika maelezo Yako ukaweka ni due to education system ya Tanzania.......
Ila ni wazo tu, unaweza ukabeba au ukaacha

Wish you all the best
 
Duh age inanitema na mwaka huu natakiwa niwe nimeenda masters....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ