No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
NitajaribuJaribu huo ushauri nilotoa kama age Yako haipishani sana na hyo 30, huwezi jua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitajaribuJaribu huo ushauri nilotoa kama age Yako haipishani sana na hyo 30, huwezi jua
Mbali ya masomo, kuna fursa za kujipatia pato la ziada kwa shughuli nje ya masomo?Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya.
Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki.
Application ni simple sana just visit website Yao, na unaweza apply hata kama huna passport UKATUMIA national ID.
Mimi kama kawaida yangu ni kuwasaidia walio bize na wasiolewa kwa kuwafanyia application (ila sio bure)
Nitafute Whatsapp 0622905303
Age requirement ni kama ifuatavyo:
Undergraduate - under 21 years
Masters - under 30 years
Najua age wengi inatutema😀😀
Ila Nina wazo,
Mnaonaje wakati wa application kwenye supporting documents ukaweka "Appeal to equity regarding age requirement"
Then katika maelezo Yako ukaweka ni due to education system ya Tanzania.......
Ila ni wazo tu, unaweza ukabeba au ukaacha
Wish you all the best
Swali zuri mkuu.. Ngoja wajuzi wajeMbali ya masomo, kuna fursa za kujipatia pato la ziada kwa shughuli nje ya masomo?
🤣🤣🤣 kaka kwani master unatakiwa uwe na miaka mingap 30Duh age inanitema na mwaka huu natakiwa niwe nimeenda masters....