fulsa za biashara dar es salaam

fulsa za biashara dar es salaam

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
nawasalimu wrote.

nipo naishi Morogoro mjini na nimepata mtaji kidogo wa mil 2 hivi, wazo langu nije dar kuanza biashara au ujasiriamali.

kinachonisumbua ni kua, mimi sio mzoefu na jilo jiji licha ya kua hua naingia na kutoka na dar ninayoifahamu mimi ni ya miaka minne iliyopita.

binafsi nilikua na mawazo mawili, moja ni kufungua duka la bidhaa hizi za sukari ,mchele, sabuni nk na pili ni biashara ya mgahawa wa chakula japo mgshawa sijawahi kbs kuufanya maishani mwangu

naomba kwa anayoifahamu Dar vizur anipe mwongozo zaidi ili nifanye kilicho bora
 
binafsi nilikua na mawazo mawili, moja ni kufungua duka la bidhaa hizi za sukari ,mchele, sabuni nk na pili ni biashara ya mgahawa wa chakula japo mgshawa sijawahi kbs kuufanya maishani mwangu
Sina uzoefu na hizo biashara lkn naweza kukushauri kidogo.
Kabla ya kufanya. Hebu fanya research kwanza. Tembelea wenye migahawa na wenye maduka. Watakupa A-z kuhusu hizo biashara. Usione aibu kuwauliza
Km ukishindwa nunua pikipiki itakufaa.
 
Back
Top Bottom