Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar zenu
Niko Zanzibar kutafuta fulsa za kibiashara.. Kwa ninavyo fahamu Zanzibar vitu vya electronics kama simu wana sema bei ziko chini...
Naomba kujuzwa fulsa zingine za biashara zilizoko apa Zanzibar
Nataka nichukue mzigo nipeleke dar
Alikwenda kufanya nini?Ulienda bila utafiti?
Ushauri atapata ngoja wenye mji wao wajeMjomba humu akuna ushauri unajisumbua bure tu ingekuwa bora waulize wa rai wa huko huko jukwaa hili ilikuwa zamani enzi za jakaya enzi hizo ukitoa mada wadau wakweli tunachangia vizuri hata kama ukikosea kiswahili lakini sasa jukwaa limeingiriwa hakuna jambo kabisa humu .ukitaka ushauri tafuta pengine sio humu .jukwaa limeingiriwa na wariovurugwa na maisha
Peleka mafuta ya nguruwe yaliyochujwa vizuri lakini.Habar zenu