Fulsa za kibiashara Zanzibar

Fulsa za kibiashara Zanzibar

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Habar zenu

Niko Zanzibar kutafuta fulsa za kibiashara.. Kwa ninavyo fahamu Zanzibar vitu vya electronics kama simu wana sema bei ziko chini...

Naomba kujuzwa fulsa zingine za biashara zilizoko apa Zanzibar

Nataka nichukue mzigo nipeleke dar
 
Mkuu ni fursa na sio fulsa
Habar zenu

Niko Zanzibar kutafuta fulsa za kibiashara.. Kwa ninavyo fahamu Zanzibar vitu vya electronics kama simu wana sema bei ziko chini...

Naomba kujuzwa fulsa zingine za biashara zilizoko apa Zanzibar

Nataka nichukue mzigo nipeleke dar
 
Mkuu usisahau kutuletea mashokishoki, halua, urojo wa forodhani pamoja na ubuyu wa babu Issa.
 
Fulsa= fursa, pumbavu kabisa, kiswahili lugha yako unahangaika ivo
 
Mjomba humu akuna ushauri unajisumbua bure tu ingekuwa bora waulize wa rai wa huko huko jukwaa hili ilikuwa zamani enzi za jakaya enzi hizo ukitoa mada wadau wakweli tunachangia vizuri hata kama ukikosea kiswahili lakini sasa jukwaa limeingiriwa hakuna jambo kabisa humu .ukitaka ushauri tafuta pengine sio humu .jukwaa limeingiriwa na wariovurugwa na maisha
 
Ushauri atapata ngoja wenye mji wao waje
 
Habar zenu

Niko Zanzibar kutafuta fulsa za kibiashara.. Kwa ninavyo fahamu Zanzibar vitu vya electronics kama simu wana sema bei ziko chini...

Naomba kujuzwa fulsa zingine za biashara zilizoko apa Zanzibar

Nataka nichukue mzigo nipeleke dar
Peleka mafuta ya nguruwe yaliyochujwa vizuri lakini.

Kule ina bei kuliko Tende kwa sasa
 
Back
Top Bottom