Fumagira na Nyang'holongo wapi pako poa?

Fumagira na Nyang'holongo wapi pako poa?

Barantogwa

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
77
Reaction score
64
Wakazi na wenyeji wa Mwanza nisaidieni, Kati ya fumagira wilayani Nyamagana na Nyang'holongo wilayani Misungwi panafaa kununua kiwanja na kuweka makazi ya kudumu.

Nimetoka Mwanza mda mrefu mji unakuwa kila siku.
 
Wakazi na wenyeji wa Mwanza nisaidieni, Kati ya fumagira wilayani nyamagana na Nyang'holongo wilayani Misungwi panafaa kununua kiwanja na kuweka makazi ya kudumu.
Nimetoka Mwanza mda mrefu mji unakuwa kila siku.
Nyango'mango ...Kwa sababu Kuna uwekezaji wa taasisi
 
Unazungumzia nyang'holongo au nyangomango maana nyangomango ndo sehemu nzuri na iko njiani kabla ya kufika usagara na ina makazi mazuri mapya nadhani ni sehem salama kuweka makazi na viwanja bei imechangamka sana
 
Back
Top Bottom