Fumanizi hili

Fumanizi hili

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Posts
2,418
Reaction score
98
Well, hakuna kitu kibaya kama kumfumania mpenzi wako, tena nyumbani kwako na hasa kitandani kwako.

Huyu mke kamkomesha mgoni wake au mumewe?

Likikutokea, utafanyaje. Assume nafasi yeyote kati ya hawa watatu.

Last edited by a moderator:
Maisha haya! mchana inzi, usiku mbu..
 
jamani hee subhanallahhhh!!!!! hheheeeheheh rose, michelle ,afrodenzi ,maria roza,fastlady1, preta jamani muapi???? njooni muone mambo huku...... heheheheh na mi nshachukuwa kozi hapa ya yule mama mmoja mzurri kweli kweli hehehehe.....abiria chunga mzigo wako,,,heheheheh leo nimecheka asnte ndugu kwa post yako..heheheheheh lol..:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Umejifunza nini Nilham kwenye kozi hii?

Umgefanya nini kama wewe ungefumania au ungefumaniwa?
 
Hawa wanawake 2 wameobyesha upeo mdogo sanawa kufikiri.
 
hhehehehehe... ya rabb stara naomba usiku na mchana yasinifike...... nimejifunza kutokuforgive na mi ntamtoa hivo hivo kwenye magazeti lol..asema hivi(mie jumba lote hili nakwambia sitoki na wewe ntakukomesha)hheehheehe lol kanifurahisha kwelikweli..:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:.
Umejifunza nini Nilham kwenye kozi hii?

Umgefanya nini kama wewe ungefumania au ungefumaniwa?
 
ajabu wanawake (wanahabari) kumnyanyasa [kijinsia??] mwenzao. inavoonekana baba mwenye nyumba kamchoka wife wake alitaka amuonyeshee ili kama atafunga virago afunge lakini kakuta wife 'kitchen party' imemkaa sawa sawa - kamsamehe mpaka akhera!
 
kamsamehe mpaka na kiama heheheheh mi imeniacha hoi kweli kweli,,,hheheheh lol... ya rabb stara si ya kucheka lakini huyu mwanamke basi tena lol then aseema ye ana damu ya kihindi....yaani hayo maneneo mi nishayacram moja baada ya jengine nimeyaweka akiba,hhehehehehe...
ajabu wanawake (wanahabari) kumnyanyasa [kijinsia??] mwenzao. inavoonekana baba mwenye nyumba kamchoka wife wake alitaka amuonyeshee ili kama atafunga virago afunge lakini kakuta wife 'kitchen party' imemkaa sawa sawa - kamsamehe mpaka akhera!
 
ajabu wanawake (wanahabari) kumnyanyasa [kijinsia??] mwenzao. inavoonekana baba mwenye nyumba kamchoka wife wake alitaka amuonyeshee ili kama atafunga virago afunge lakini kakuta wife 'kitchen party' imemkaa sawa sawa - kamsamehe mpaka akhera!

Waandishi wanahabari wenyewe ni Mashangingi Manungaembe na hawafai kuwa waandishi hata kidogo sababu wapo Biased ktk kazi yao, they are fanatics. Huwezi kuwa hivyo sababu ya legal reasons. Eti journalists, journalists my bum!!
 
yap walichokifanya hata mie hakikunifurahisha wallah hata kama ni kweli kachukuwa manaume wa watu lakini wao hawakusaposs kummvuta nywele namengingineyo... na kadhalika na mumewe pia angehojiwa kwanini kenda kulala wakati yeye ndie alieyakoroga.....yaani wanaume... wanaume wallah sijui wamepewa mioyo migumu kias gani ???
Waandishi wanahabari wenyewe ni Mashangingi Manungaembe na hawafai kuwa waandishi hata kidogo sababu wapo Biased ktk kazi yao, they are fanatics. Huwezi kuwa hivyo sababu ya legal reasons. Eti journalists, journalists my bum!!
 
sikuona fumanizi kwenye hiyo issue maana mama mwenye nyumba aliambiwa usiku ule ule halafu hakufanya jambo lolote akawa kimya. akamuacha jamaa aendelee kuchakachua.inaoneka ndo tabia ya huyo mwanaume ndo maana mke hawakuwa chumban kwa baba na mama. nadhan alikuwa anamjua huyu dada au aliwahi kumsikia au huyo bwana aliwahi kumsimulia, na kwann mama mwenye nyumba ulale chumba cha watoto? kuna jambo lililofichika kwenye hii fumanizi sana sana ilikuwa kumdhalilisha huyo dada na pia kwann mama mwenye nyumba alikataza mumewe asiongee na hao wanaijiita waandishi habari...too selfish
 
Hakuna haki hapo wanamuonea. Mwanamume naye Ana makosa, lakini yeye kalala ndani.

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk
 
Mama wenye mume na hao waandishi wa habari wote punguani. Wangetumia huo muda kufanya interview za maana. Hii inaonyesha jinsi gani journalists wetu walivyo incompetent.
 
Takataka tupu! Mwanamke anazidi kujidhalilisha ktk jamii wakati mwanaume anazidi ku-gain confidence. Nilitegemea mwanaume ane angetolewa ktk video, kumbe wanajitoa wanawake wenyewe . . . .
Sasa naanza kuelewa kwanini post za wanawake ni nyingi sana hapa JF kuliko za wanaume
 
mmmhh ndio maana mi sijawah kutuma zaidi ya kupiga hodi tuu lol.....kumbe ndio ulivyo hivyooo cpu.. mmmh!!!
Takataka tupu! Mwanamke anazidi kujidhalilisha ktk jamii wakati mwanaume anazidi ku-gain confidence. Nilitegemea mwanaume ane angetolewa ktk video, kumbe wanajitoa wanawake wenyewe . . . .
Sasa naanza kuelewa kwanini post za wanawake ni nyingi sana hapa JF kuliko za wanaume
 
Takataka tupu! Mwanamke anazidi kujidhalilisha ktk jamii wakati mwanaume anazidi ku-gain confidence. Nilitegemea mwanaume ane angetolewa ktk video, kumbe wanajitoa wanawake wenyewe . . . .
Sasa naanza kuelewa kwanini post za wanawake ni nyingi sana hapa JF kuliko za wanaume
Kweli kabisa wamemdhalilisha dada wa watu, tena ni mke mwenzake.... huyo dada angewezaje kuja mwenyewe na kuingia ndani.... Na huyo mama kwa jinsi asivyo na akili eti hawezi kuacha mali zote sh...zi, kweli siku zote wanawake wataendelea kupuuzwa sababu hawajui nini mnahitaji kutoka kwa waume zao....:embarrassed:!!!
 
Back
Top Bottom