Fumanizi kitaani kwetu

Na inawezekana kuuza urembo ni gia tu ya kuingilia ndani, ili majirani wasihisi kitu........aibu lakini!!!
 
Kwa hiyo huyo mama alikuwa analipia gharama za urembo au??
 
Mkuu umepiga ikulu.
 
Cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga

Mh pale mapenzi yanapotathminiwa kwa mali!! Gari si mapenzi jamani .

Ingawa sijapendezwa na alichokifanya mdada huyu lakini tusijudge kwa kuangalia upande mmoja tu.......... ndoa ni changa kisha mdada akaamua kuichakachua na mpaka rangi........ kuna sababu si bure na inawezekana moja wapo kati ya haya ni kweli;
1. Hulka ya huyu dada........hakuwa ametulia ni kicheche kilichobahatika kuolewa- so hakuona ugumu (kama ni kweli) Kuteremsha gagulo na kumruhusu mpaka rangi kufurahisha zunga lake. Na kama ni hivyo basi ni wazi kama hakuwa mpaka rangi basi angepewa houseboy au mlinzi.

2. Mpaka rangi na huyu dada walikuwa wana uhusiano tangu zamani pengine kabla huyu dada hajaolewa so wanakumbushia/endeleza penzi lao shata shata, na
3. Kuna sehemu kaka aliteleza either hakushughulika ipasavyo kama mume au alijisahau...kina kaka mapenzi si kuniletea vitu vikubwa sijui gari au nini ni vitu vidogo dogo tu, kuwa karibu na mkeo.......mwonyeshe uko naye si usubiri tu wakati wa tendo.
 
Walahi majinga, wauza urembo nk marufuku home kwangu. Hawa jamaa ni hatari sana kwa kuwa huwa wanagonga mademu bila huruma na matokeo yake my waif wetu wanapenda kitu hiyo. Pole sana banker
Tatizo sio wauza urembo, kama humpigi bakora kisawasawa hata ndugu zako na marafiki zako watategwa na wakiingia laini wanammega... cha msingi ni kumfanyia kazi... Timiza majukumu yako yote ya ndoa uone kama atatoka nje!!!
 

jamaa hatoshelezi sasa mama afanye nini?
 
banker kazi anazoweza ni za ofis tu-huku kwingne inaonyesha yupo weak-ngoja watu wamsaidie
 
Huyu kicheche tu ndugu, Mhhh.. Tunatishwa jamani!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…