Fumanizi kitaani kwetu

Fumanizi kitaani kwetu

Na inawezekana kuuza urembo ni gia tu ya kuingilia ndani, ili majirani wasihisi kitu........aibu lakini!!!
 
Kwa hiyo huyo mama alikuwa analipia gharama za urembo au??
 
Mkuu mwanamke ni fimbo ya uhakika ndio hatatoka ndani, hata uwe na mali vipi kama uwezo mdogo basi shambaboy, muuza genge, muuza urembo, lazima watakukanyagia tu.

Cha muhimu ni kuepuka sana Vitambi na Manyama ya uzembe ya hovyohovyo, jaribu kufanya mazoezi yanayokujengea pumzi ya kuhimili mikikimikiki ya dakika 90, hao (shambaboy, muuza urembo) muda wote wako kwenye pilikapilka hivyo wako fit
Mkuu umepiga ikulu.
 
Cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga

Mh pale mapenzi yanapotathminiwa kwa mali!! Gari si mapenzi jamani .

Ingawa sijapendezwa na alichokifanya mdada huyu lakini tusijudge kwa kuangalia upande mmoja tu.......... ndoa ni changa kisha mdada akaamua kuichakachua na mpaka rangi........ kuna sababu si bure na inawezekana moja wapo kati ya haya ni kweli;
1. Hulka ya huyu dada........hakuwa ametulia ni kicheche kilichobahatika kuolewa- so hakuona ugumu (kama ni kweli) Kuteremsha gagulo na kumruhusu mpaka rangi kufurahisha zunga lake. Na kama ni hivyo basi ni wazi kama hakuwa mpaka rangi basi angepewa houseboy au mlinzi.

2. Mpaka rangi na huyu dada walikuwa wana uhusiano tangu zamani pengine kabla huyu dada hajaolewa so wanakumbushia/endeleza penzi lao shata shata, na
3. Kuna sehemu kaka aliteleza either hakushughulika ipasavyo kama mume au alijisahau...kina kaka mapenzi si kuniletea vitu vikubwa sijui gari au nini ni vitu vidogo dogo tu, kuwa karibu na mkeo.......mwonyeshe uko naye si usubiri tu wakati wa tendo.
 
Walahi majinga, wauza urembo nk marufuku home kwangu. Hawa jamaa ni hatari sana kwa kuwa huwa wanagonga mademu bila huruma na matokeo yake my waif wetu wanapenda kitu hiyo. Pole sana banker
Tatizo sio wauza urembo, kama humpigi bakora kisawasawa hata ndugu zako na marafiki zako watategwa na wakiingia laini wanammega... cha msingi ni kumfanyia kazi... Timiza majukumu yako yote ya ndoa uone kama atatoka nje!!!
 
kuna jamaa mpaka rangi kucha na kuuza urembo juzi kafumaniwa mtaani kwetu ndani ya geti nyumbani kwa mtu alikuwa anampaka rangi mke wa mtu halafu anammega. Sasa majirani walishtukia issue wakamwambia mwenye mali (jamaa anapiga job benki flani)

chezo ilikuwa kila mara yule muuza urembo akiingia kwenye ile nyumba anakaa kama masaa mawili hivi na akitoka anasindikizwa tena na maurembo yake anabebewa mpk getini anasepa

sasa juzi jamaa wa urembo kaingia watu wakamwita mwenye mali aje kufumania, ingawa hawakukutwa red handed lakini jamaa alikutwa sebuleni anapiga chai ya maziwa kwa soseji huku yule dada akiwa bafuni anaoga nadhani akijiandaa na pambano au akijisafi na pia pale sebuleni ilikutwa chupi ya yule dada sasa haikueleweka kama walishapiga cha fasta lah maana toka muuza urembo aingie mpk mwenye mali anakuja ilishapita kama dk 45 hivi

kilichonichekesha ni kwamba jamaa walioingia kufumania ambao ni jamaa marafiki wa yule mwenye mke walimpiga mkwara yule chinga kuwa nae wanamgeuza kwa hiyo wakamkwida mavue nguo (ingawa ilikuwa ni mkwara tu) unaambiwa yule muuza urembo alipiga makelele mtaa mzima ulisikia huku anasema bora hata achomwe moto kuliko kugeuzwa au kama ni kumgeuza labde awe amekufa. Jamaa baadae alipelekwa polisi ingawa baadae nasikia alitolewa kwa kukosekana ushahidi wa kimazingira

cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga

jamaa hatoshelezi sasa mama afanye nini?
 
banker kazi anazoweza ni za ofis tu-huku kwingne inaonyesha yupo weak-ngoja watu wamsaidie
 
Mh pale mapenzi yanapotathminiwa kwa mali!! Gari si mapenzi jamani .

Ingawa sijapendezwa na alichokifanya mdada huyu lakini tusijudge kwa kuangalia upande mmoja tu.......... ndoa ni changa kisha mdada akaamua kuichakachua na mpaka rangi........ kuna sababu si bure na inawezekana moja wapo kati ya haya ni kweli;
1. Hulka ya huyu dada........hakuwa ametulia ni kicheche kilichobahatika kuolewa- so hakuona ugumu (kama ni kweli) Kuteremsha gagulo na kumruhusu mpaka rangi kufurahisha zunga lake. Na kama ni hivyo basi ni wazi kama hakuwa mpaka rangi basi angepewa houseboy au mlinzi.

2. Mpaka rangi na huyu dada walikuwa wana uhusiano tangu zamani pengine kabla huyu dada hajaolewa so wanakumbushia/endeleza penzi lao shata shata, na
3. Kuna sehemu kaka aliteleza either hakushughulika ipasavyo kama mume au alijisahau...kina kaka mapenzi si kuniletea vitu vikubwa sijui gari au nini ni vitu vidogo dogo tu, kuwa karibu na mkeo.......mwonyeshe uko naye si usubiri tu wakati wa tendo.
Huyu kicheche tu ndugu, Mhhh.. Tunatishwa jamani!!??
 
Back
Top Bottom