fumanizi kwenye gari na mke wa mtu

cholo

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
97
Reaction score
7
watanzania tumekuwa kama wanyama leo kafumaniwa mke wa mtu anapigwa miti kwenya gari
 
huyu mtu hajatoroka mirembe kweli??
 
Du! Dunia imesha, aisee madhara ya mfumuko wa bei huo,
 
Unashangaa nn? Afadhali hao wameweza kujisitili at least ndani ya gari watu wanawakunja vichochoroni kweupeeeee! Hizi ni siku za mwisho wa dunia ww!!!!
 
Inategemea na sexual fantasy yao. . .siyo kwamba kufumaniwa kwenye gari ni kukosa pesa ya gesti, pengine wameshafanya sehemu nyingi na zimekua too monotonous(zimejirudia rudia) so kuongeza raha, imagine doing it in a RRS(Range Rover Sport)
 
mi cjakuelewa koz hakuna detail issue ilikuaje!
 
Kumkunja mtu kwenye gari kuna raha yake bana
 
kongosho funguka usiwe kama mama mjamzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…