fumanizi kwenye gari na mke wa mtu

fumanizi kwenye gari na mke wa mtu

cholo

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
97
Reaction score
7
watanzania tumekuwa kama wanyama leo kafumaniwa mke wa mtu anapigwa miti kwenya gari
 
Du! Dunia imesha, aisee madhara ya mfumuko wa bei huo,
 
Unashangaa nn? Afadhali hao wameweza kujisitili at least ndani ya gari watu wanawakunja vichochoroni kweupeeeee! Hizi ni siku za mwisho wa dunia ww!!!!
 
Inategemea na sexual fantasy yao. . .siyo kwamba kufumaniwa kwenye gari ni kukosa pesa ya gesti, pengine wameshafanya sehemu nyingi na zimekua too monotonous(zimejirudia rudia) so kuongeza raha, imagine doing it in a RRS(Range Rover Sport)
 
Back
Top Bottom