Fumanizi la hatari ni lipi kati ya haya?

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Kama kawaida, jana kwenye kikao chetu cha kupata kamvinyo mjadala mpya ukaibuliwa. Safari hii ulihusu maswala ya kufumaniana. Ilionekana katika maswala ya mapenzi hakuna kitu kinachouma kama usaliti. Na linapokuja suala la kuufumania usaliti huo live hali inakuwa mbaya zaidi. Kwamba lipi fumanizi linaloumiza zaidi kati ya haya:

1. Kwa Wanawake: Kumfumania mmeo/mpenzi wako anamegwa na mwanaume mwenzie au anammega mwanaume mwenzie au anammega mwanamke. Lipi linauma zaidi?

2. Kwa wanaume: Kumfumania mkeo/mpenzi wako anamegwa na mwanamke mwenzie au anamegwa na mwanaume. Lipi litakupandisha presha zaidi?

Nawasilisha
 
Kwa mwanamume hapo ungesema pia kumfamania mkeo "anajiexpress" na mwanamume mwingine...hapo balaa maana presure yake si mchezo!!
 
hiyo mijadala yenu nyie ni kumegana tu...lol

hiyo blue hapo hilo limwanaume litalijutia maisha yangu yote kwa kuwa na janaume liclojua uanaume ni nini, ndoa ingekufa kibudu bila maelezo na acjetamka ana mke nyamayao....hapo kwa kumega mwanamke mr wangu Kaizer nikimkuta yeye ndio anatakiwa atimue mbio.....mana ohhh lalaaa
 
Kujiexpress si ndio kumegwa au unamaanisha nini mkuu?
 
Sasa huyu naye akirudi nyumbani atawezanipandishia sauti kweli? Maana si ni sawa na mwanamke mwenzangu tu?

(Swali la uzushi- saa hawa wa hivi nao huwa wanatoaga ile milio ya mahaba wanapokuwa wanashughulikiwa au ni ugumegume tu?)
 
hiyo mijadala yenu nyie ni kumegana tu...lol

hiyo blue hapo hilo limwanaume litalijutia maisha yangu yote kwa kuwa na janaume liclojua uanaume ni nini, ndoa ingekufa kibudu bila maelezo na acjetamka ana mke nyamayao....hapo kwa kumega mwanamke mr wangu Kaizer nikimkuta yeye ndio anatakiwa atimue mbio.....mana ohhh lalaaa

Umeanza kwa ukali lakini hatimaye umetoa mchango mzuri. Ahsante sana nyamayetu.
 
Sasa huyu naye akirudi nyumbani atawezanipandishia sauti kweli? Maana si ni sawa na mwanamke mwenzangu tu?

(Swali la uzushi- saa hawa wa hivi nao huwa wanatoaga ile milio ya mahaba wanapokuwa wanashughulikiwa au ni ugumegume tu?)

Subiri mtaalam Fidel80 aingie humu labda utapata jibu sahihi zaidi. Kwahiyo ukimkuta anammega mwanamke mwezio inakuwa poa tu. Si ndio?
 
None of them itanifanya niwe mpole! Kummega ni kummega iwe anamega kuku au anamegwa ni utovu wa nidhamu na uaminifu so hakuna cha fumanizi poa hapo.
 
Navyojua mwanamke akimfumania mmewe atapiga kelele weeeeeeee na wapambe na mashosti watashangilia weeeeeeee lakini baada ya siku 2 mwanamke ananywea kama alisema atafungasha vyake aondoke utaona bado yupo yupo na siku zinaenda baadae anachukulia ni tukio la kawaida kama mnavyo jua wanawake hawanaga maamuzi mazito kama ya wanaume kikubwa zaidi yeye atafikiria sana aliko toka familia inayo mwangalia n.k ataamua kupiga moyo konde na mme anaendeleza mmego kama kawa.

Lakini hii ishu ukija kwa mwanamme akifumania mke wake anamegwa dah timbwili lake halieneei mwaka mzima mzozo kibaya zaidi kama jamaa ndo alikuwa anakunjuka kunako kujiexpress dah ndo paapu mmewafumania mnaona chumba harufu imebadilika bila shaka mgoni alikuwa anajiexpress kutokana na wanaume kuwa na maamuzi mazito basi mwanamke pale pale anakula red au ndo basi kama ni ndoa misukosuko ndo hapo inapo anzia na mwanamme atafanya juu chini kumwacha yule mwanamke maana ana amini kuwa mgoni yule ataendeleza libeneke kama kawa.

Wakuu katika fumani kati ya mwanamke na mwanamme mwenye msimamo mzito ni mwanamme. Mwanamme anauwezo wa kusitisha uhusiano na mwanamke wake aliyefumaniwa lakini si mwanamke. Mwanamke hawezi sitisha kabisa hana maamuzi.
 
Kumbe mkuu ukiamua unamwaga pointi kali namna hii? Big up!
 
Lakini hii ishu ukija kwa mwanamme akifumania mke wake anamegwa dah timbwili lake halieneei mwaka mzima mzozo kibaya zaidi kama jamaa ndo alikuwa anakunjuka kunako kujiexpress dah ndo paapu mmewafumania mnaona chumba harufu imebadilika bila shaka mgoni alikuwa anajiexpress kutokana na wanaume kuwa na maamuzi mazito

Kumbe ndio inavyokuwaga............. hawa viumbe wa ajabu!

Wakuu katika fumani kati ya mwanamke na mwanamme mwenye msimamo mzito ni mwanamme. Mwanamme anauwezo wa kusitisha uhusiano na mwanamke wake aliyefumaniwa lakini si mwanamke. Mwanamke hawezi sitisha kabisa hana maamuzi.[/quote]

...... Hujakutana nao tu kaka.
 
Navyojua mwanamke akimfumania mmewe atapiga kelele weeeeeeee na wapambe na mashosti watashangilia weeeeeeee lakini baada ya siku 2 mwanamke ananywea kama alisema atafungasha vyake aondoke utaona bado yupo yupo na siku zinaenda baadae anachukulia ni tukio la kawaida kama mnavyo jua wanawake hawanaga maamuzi mazito kama ya wanaume kikubwa zaidi yeye atafikiria sana aliko toka familia inayo mwangalia n.k ataamua kupiga moyo konde na mme anaendeleza mmego kama kawa.

Lakini hii ishu ukija kwa mwanamme akifumania mke wake anamegwa dah timbwili lake halieneei mwaka mzima mzozo kibaya zaidi kama jamaa ndo alikuwa anakunjuka kunako kujiexpress dah ndo paapu mmewafumania mnaona chumba harufu imebadilika bila shaka mgoni alikuwa anajiexpress kutokana na wanaume kuwa na maamuzi mazito basi mwanamke pale pale anakula red au ndo basi kama ni ndoa misukosuko ndo hapo inapo anzia na mwanamme atafanya juu chini kumwacha yule mwanamke maana ana amini kuwa mgoni yule ataendeleza libeneke kama kawa.

Wakuu katika fumani kati ya mwanamke na mwanamme mwenye msimamo mzito ni mwanamme. Mwanamme anauwezo wa kusitisha uhusiano na mwanamke wake aliyefumaniwa lakini si mwanamke. Mwanamke hawezi sitisha kabisa hana maamuzi.

Fidel80 bado hujajibu swali la kizushi lililoulizwa vp na hao madume huwa wanatoaga sauti za kimahaba au gumegume tuu?
 
hakuna fumanizi zuri hata moja coz yote ni balaaa kwa wahusika.mungu atukinge na kutulinda na tuwe waaminifu kwani ukimwi unaua saaaaaana
 
Back
Top Bottom