Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,ila for his safety... Yupo right😂😂Umeona eeeh!? Sema kaharibu hapo kwenye kondom tu
"His safaty"!? Sasa maandalizi yote walikuwa ya nn?! Ama alikuwa anakwepa mimba?Kabisa,ila for his safety... Yupo right
Ukimwi haupatikani kwenye jasho bali kwenye damu"His safaty"!? Sasa maandalizi yote walikuwa ya nn?! Ama alikuwa anakwepa mimba?
Ha ha haa,kumbeMimba Mama ndio tatizo. Kizaa zaa nilichopelekaga kwenye familia yangu walipomuona mtu niliyezaa nae, nilisema sitorudia
Na tunafanya maandalizi ya kiwango cha SGR kuepuka mazingira ya hizo damu (michubuko nk)Ukimwi haupatikani kwenye jasho bali kwenye damu