Fumanizi la mama mwenye nyumba

Umetisha mkuu tunashukuru pia kwa story fupi na nzuri pia
 
Zile vocal ulizoingia nazo kwa mwaija ndio nazirudia rudia hapa zinikae kichwani

Labda nikutane na demu wa humu jf ambae ameisoma hii story
Atajua hizi vocal huyu mpuuzi kazitoa kwa Analyse
Na probability ya kukuatana na dem wa jf ni 0.001
Ukijiandaa hutoboi. Inabidi maneno yaje tu yenyewe automatically
 
Hii story ina economic potentiality, ikiwa strategizeed vizuri. Imagine hiko kwenye series au tamthiliya au kitabu nadhani kitauza sana. Think about it. Yani wakati nasoma utadhani nilikuwa naona tukio live
Nimekuelewa sana mkuu
 
Aisee malizia hii story kabla hatujakuuwa.
 
Aisee malizia hii story kabla hatujakuuwa.
Ugumu wa Jamii Forums, ukishaanzisha story, jamii inaimiliki, watataka upost mwendelezo mfululizo hadi iishe, hawataki excuses. Ukidelay yataanza maneno.

Ndio maana unaona story zangu ni chache sana japo Nina mengi ya kuandika. Nikiwa free nitashusha [emoji109][emoji109]
 
Sawa mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu kwa muda wa kujitolea kutuhabarisha simulizi nzuri na yenye mafundisho ya aina yote.
Kwanza tusiwaogoe mashangazi na penye nia njia juu ya hawa mashangazi.
Pili, mafundisho juu ya kazi ya mwaya kwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…