Fumanizi la mama mwenye nyumba

Nimeongeza nyavu za kutupia mashangazi, watakoma!!
 
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Kuna mtu humu alikuomba location ili aje umsimulie hii habari..Nina mashaka kama amesalimika..usikute siku hapa ukaja na simulizi yake..haahaaa..natania tu
 
Mwahija lazima atakuwa ni mpenzi wa Simba

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwahija lazima atakuwa Kolo tu,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo jamaa wa TANESCO kalipa 150k kapigwa Ndoige,ndio maana umeme unakatika katika sana aisee
 
Kwahiyo jamaa wa tanesco alikuwa ana lengo la kumchumisha mchicha maza hausi😁😁😁😁 ila wanawake bana.... Mke amejaaliwa Mume,Watoto na nyumba wanayo na vichenchi kutoka kwa wapangaji vipo ila analiwa tena maeneo ya jirani tu na home!!! alafu kuna mseng unakuta ananiambia nioe.. na huu wivu si jela kabisa naiona
 
Hiyo ya Mwahija sijui itakuja na kichwa kipi cha habari; PENZI LA MDOGO WAKE MAZA HOUSE (MWAHIJA)
au PENZI LA MWAHIJA LILILONIFANYA MIMI NA MAPENZI YA MASHANGAZ BHASS!
 
Dah! Ila mkuu mbona kama hii story ilishaisha baada ya mama mwenye nyumba kukufuma na mwanae K, Tukizingatia kichwa cha habari “FUMANIZI LA MAMA MWENYE NYUMBA’’

Hapo kwa mwahija hapo tutakaa sana hapo hiyo familia kama sio wangoni basi watakua akina nanilii kule kwakina shujaa wa kule bwana juzjuz tu hivi kaibuka maana hawajui kukataa hata kidogo..Ukapigwa chapuo hadi ukamsahau demu wako dah..Aise!

Taswira ya mwahija ikanijia ghafla👇

 
Shukrani mkuu kwa muda wa kujitolea kutuhabarisha simulizi nzuri na yenye mafundisho ya aina yote.
Kwanza tusiwaogoe mashangazi na penye nia njia juu ya hawa mashangazi.
Pili, mafundisho juu ya kazi ya mwaya kwa mwanaume.
Pamoja sana mkuu
 
Ulivyokuwa unachota maji bombani na kuyamwaga..daahh..ingekuwa kipindi hiki cha mgao ungewakasirisha watu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hata hivyo sikumwaga ndoo nyingi. Nilikuwa naona soo kumuulizia, Maza house angeweza kuusoma mchezo
 
Reactions: BRN
Kuna mtu humu alikuomba location ili aje umsimulie hii habari..Nina mashaka kama amesalimika..usikute siku hapa ukaja na simulizi yake..haahaaa..natania tu
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Reactions: BRN
Oa tu mkuu
 
Hiyo ya Mwahija sijui itakuja na kichwa kipi cha habari; PENZI LA MDOGO WAKE MAZA HOUSE (MWAHIJA)
au PENZI LA MWAHIJA LILILONIFANYA MIMI NA MAPENZI YA MASHANGAZ BHASS!
Au "Penzi la Mwahija. Kifo nje nje" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Fumanizi inabidi watu wengi walijue. Sasa yeye hata kusema kwa faza house alishindwa [emoji28]


Kwenye picha huyo mbona Bado Binti kabisa. Unayajua mashangazi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…