Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Ee ukuje mana hali si haliNikuje?[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ee ukuje mana hali si haliNikuje?[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ee ukuje mana hali si hali
Tatizo makufuli mengi[emoji1787][emoji1787]Ee ukuje mana hali si hali
[emoji1787] ngoja nitafute funguoTatizo makufuli mengi[emoji1787][emoji1787]
Barikiwa kipenzi[emoji1787] ngoja nitafute funguo
Mr tumezinguana hapokei simu hapa napambana mwenyewe usiku upite.Pole sana mkuu. Muite mister akusaidie kuvilaza
Nitaandika nisimulieKusimulia na kuandika ni kipaji aseeeh. Nimekuwa mvivu,ila natamani nipate mtu nimsimulie yeye aandike
Pole aise.Mr tumezinguana hapokei simu hapa napambana mwenyewe usiku upite.
Ahsante mamiiPole aise.
Kwani huyu mdada anapatikana wapi? Huwa namuona ona sana kwenye status za watuDah! Ila mkuu mbona kama hii story ilishaisha baada ya mama mwenye nyumba kukufuma na mwanae K, Tukizingatia kichwa cha habari “FUMANIZI LA MAMA MWENYE NYUMBA’’
Hapo kwa mwahija hapo tutakaa sana hapo hiyo familia kama sio wangoni basi watakua akina nanilii kule kwakina shujaa wa kule bwana juzjuz tu hivi kaibuka maana hawajui kukataa hata kidogo..Ukapigwa chapuo hadi ukamsahau demu wako dah..Aise!
Taswira ya mwahija ikanijia ghafla👇
View attachment 2419886
Nashkuru sana mkuu kwa recognition yako.Siongei kinafini kwa sababu uzi wako unabamba kwa sasa mkuu Analyse ila wewe ni miongoni mwa wasimuliaji wazuri sana humu jukwaani ninaowakubali.
Lengo ni kuburudishana na kuelimishana inapobidi, nashkuru kusikia walau nimefanikiwa kwa kiasi Fulani katika iliHuwa nikisoma story zako lazima nicheke mwenyewe kwa namna unavyotumia maneno yenye burudani sana.
Story tunaianza wote na kuimaliza wote, that's the rule.Kikubwa zaidi ni kwamba huwa unamaliza kiu ya hadhira yako kwa kuendelea kuwa sehemu yao hadi mwisho wakati ukijibu kila swali unaloulizwa.
Suala la chai au sio chai dont give a damn man.
I am your fan!
Hapa umetufanyia ukatili,mbona hujatufikisha mwisho?yaani habari ya mwahija imeishia hewani jamani!🙄7th Portion:
.... Mida ya alfajir Maza house aliamua kurudi home. Alivyorudi alipewa sana kichapo na mumewe. Mpaka watoto wakaja kutuamsha wapangaji twende tukamsaidie Mama yao asije kuuliwa. Kimoyo moyo nikajisemea "Niende anitaje tupigwe wote?" Nikakausha. Ila baadae alikuja akaacha kumpiga. Siku nzima Maza house hakutoka nje. Mida ya jioni naenda kwa mama ntilie kula, nikakutana na K anatoka dukani. Nikampa pole kwa jinsi alivyopigwa siku ile, akaniambia nisijali yalishapita. Nikamuuliza Maza house anaendeleaje? Akajibu "Hajiskii poa, yupo ndani amelala tu maana ameumia sana miguu na mikono". Nikamwambia akampe pole, akasema sawa. Story zikaisha, tukabaki tumesimama tu. Kishetani kikaja upande wangu "Fanya kweli kabla hujahama"
Nikamuuliza K, "Vipi unaweza kuja leo?" Akajibu anaumwa hawezi kuja, labda baada ya siku mbili au tatu. Nikaelewa yupo period huyu. Nikamwambia basi sawa, tutachek baada ya hizo siku tatu. Tukaagana.
Kesho yake jioni wakaja ndugu wa faza house na Maza house,kwa ajili ya vikao vya upatanishi. Niko nje nachota maji, namsikia faza house anavyobwata, ndugu zake wakawa wanamtuliza. Sikutaka kuwafatilia, nikaendelea na mishe zangu. Nilivyomaliza kuchota maji, nikawagongea ili niwape hela ya maji. Aliyekuja kufungua mlango, mwanzoni sikumtambua ila nilikuja kujua ni mdogo ake na Maza house. Huyu hakuwa mweupe sana kama Maza house, yeye alikuwa kama brown Fulani hivi, ila anamwili mkubwa kuliko Maza house, nyama za kutosha. Nikaanza kujiuliza "Nini hiki naona Mimi? Mbona majaribu hayaishi?"
Yule mdogo ake Maza house (tumuite Mwahija), akaniuliza "nikusaidie Nini?. Nikamwambia nimeleta hela ya maji hii. Akaipokea, alafu akasema " Asante". Tabasamu lake na zile pozi wakati anaongea, zikanivuruga kimtindo. Nikaondoka.
Nafika gheto dalali akanipigia simu kuna chumba kimepatikana, kama Nina muda sasa hivi twende nikakiangalie ili kesho nihamie kama nitaridhika nacho. Nikamuuliza kipo mtaa gani? Akanielekeza, nikamjibu fasta kuwa sijakipenda. Dalali anauliza "Boss hata hujakiona ushasema hujakipenda?. Kama upo busy hata kesho sio mbaya uje ukiangalie.". Nikamwambia nitakuwa busy, aniambie kipoje hicho chumba. Akaanza kuniambia kipo ndani ya fensi, usalama mkubwa, kina tiles n.k. Nikamuuliza kimepigwa rangi? Akajibu ndio, kina ceiling board? Akajibu ndio. Kina tiles za aina gani? Akasema zile zenye urembo urembo kama michoro au maua maua. Nikamwambia sipendi maua hizo tiles sijazipenda, anitafutie chumba kingine. Dalali akawaka "Mkuu siulisema una haraka, mbona unaleta mambo sio?". Nikamwambia kama anaona namsumbua basi aache asitafute, sihami tena. Akawa mpole, akasema atanifutia kingine. Tukaagana.
Huyu Mwahija kwanini hakusubiria nihame ndio aje? Haya majaribu mpaka lini? Nikajaribu kuyapotezea mawazo juu yake, baadae nikalala, siku ikaisha.
Kesho yake sikumuona kabisa, japo nilifanya jitihada zote. Mida ya jioni nikakutana na K akiwa anatoka kununua mkaa. Story za hapa na pale, akaniambia amepona, aje baadae? Nikamwambia siko poa, najiskia vibaya. Akanipa pole. Wakati anataka kuondoka nikamuulizia Mwahija, akaniambia "Ma mdogo kuna sehemu alienda ila leo atarudi". Nikasema sawa .
Baadae kama zali, naenda nje kutafuta msosi, nakutana na Mwahija getini anataka kuingia. Nikamsalimia, akaitikia. Wakati anataka kuingia ndani nikamuuliza "Tokea tulivyoonana juzi, sijakuona tena, kama hauishi humu vile". Akacheka "Kuna mtu nilienda kumtembelea, siunajua nimekuja mjini mara moja tu". Kipindi ananijibu, akawa amefungua geti anataka kuingia ndani. Nikamwambia "Inaonekana una haraka sana, ila nilitamani sana tuendelee kuongea". Akaniuliza "Unataka tuongee kuhusu nini?" Nikamjibu "Vingi tu, ila vinahitaji muda". Akajibu, "Sawa ngoja niwaone kwanza huko ndani, alaf baadae tutaongea". Nikajibu sawa. Akaingia ndani. Nikaanza kujilaumu sijachukua namba.
Nilivyotoka kula, nikawa muda wote nimesimama mlangoni labda atatokeza nimfate, ila wapi. Mpaka inafika saa mbili na nusu sijamuona. Nikachukua ndoo zangu na kwenda kuchota maji. Kila nikichota ndoo moja nailipia, alaf nikifika kule ghetto kwa nyuma naimwaga chini, natulia dakika chache then naenda tena kuchota maji. Mara ya kwanza nilivyoilipia alitoka K, mara ya pili alitoka faza house, mara tatu ndo akatoka Mwahija.
Hakusimama mlangoni, alitoka nje kabisa. Anauliza "Mbona fujo nyingi dogo?" Nikamjibu "Tunamihadi ya kuongea ila hukunipa namba". Akajibu "Ningekupaje namba na hukuomba?". Nikamjibu "Yameshapita hayo, bahati nzuri tupo hapa sasa". Akaniambia "Haya sema unachotaka kusema". Sikujifikiria mara mbili wala sikutaka kujipanga maana ningeharibu, nikamwambia "Nimetokea kukuelewa ghafla, najikuta napenda tu uwe karibu tukiongea kama hivi". Akakunja sura, alaf akawa serious "We mtoto kumbe huna adabu? Unaelewa kweli unachokiongea, mbona kama unanivunjia heshima?". Nikamjibu "Sio wewe tu unayenishangaa, hata Mimi binafsi najishangaa. Sielewi nimekutwa na nini"
Akaniuliza "Unavuta bangi? Mbona huna adabu, Mimi ni kama dada yako au hata mama ako kabisa, maana Nina uhakika nimekuzidi miaka mingi". Nikamjibu " Upo sahihi kwenye kila unachosema, ila binafsi siamini kama nakukosea adabu. Ila pia sipo hapa kukwambia unielewe ninachosema, nilitaka tu usikie maneno yangu, maana kama ungeondoka bila kukwambia ningejilaumu sana". Tulijikuta tunaongea sana, na kwa muda mrefu. Mwisho wa siku akaniambia "Hapa nimekuja kusuluhisha ugomvi wa dada angu na shemeji, sitaki kutia aibu". Nikamwambia "Huwezi tia aibu, maana nitahama hapa ndani ya siku chache zijazo". Akanijibu " Nitakuwa hapa town kwa wiki mbili, hama hapa alaf nitafute. Nikamjibu hakuna shida. Akaniuliza, ila unauhakika na unachokitaka?. Nikamjibu ndio. Akaniuliza, "Na hako kamwili kako utauweza huu mwili?". Nikamjibu "Wewe ndio utaamua niuweze au nishindwe, ila kwa upande wangu maji nimeshayavulia nguo haya". Akacheka, nikamuuliza " Upo tayari niweze au nishindwe?". Akacheka tena "Unaongea sana, siumesema unahama? Haya hama, mengine hayafai kuongelea hapa.".
Nikachukua namba yake, then nikaenda ghetto. Kufika gheto nikamchek yule dalali kumuuliza kama kile chumba bado kipo wazi au kimechukuliwa. Dalali akawa mkali kidogo, ila nikamwambia nilikuwa stressed siku ile. Tukaelewana nikaenda kukiangalia. Process za kuhama zikaanza.
** ** ***** *****
Hellow guys, huwa napenda kuandika story kuhusu Mimi kwa kutegemea na tukio husika. Mlengwa wa kisa hiki alikuwa ni Maza house na lile fumanizi, hatimae tumefikia tamati, maana nilifanikiwa kuhama. Matukio mengine yaliyofatia au ambayo nimeshawahi kukutana nayo katika hii safari ya maisha, nitayaleta independently siku zijazo. Mwahija ni mtu aliyenifanya nikasema Mimi na mashangazi sasa basi, japo huwa nakili, kati ya mashangazi yote, hakuna kama Mwahija.
Nashkuru kwa tuliokuwa pamoja tokea mwanzo.
Until next time,
Wasalaam
Analyse