Fumanizi la Mchungaji ...adai alikuwa anamfanyia mke wa mtu maombi

udhaifu ni nature ya ubinadamu ila ... kwenye huo ubinadamu haulalishwi kuwa sahihi.... HIVYO Basi kama wanadamu tunapigana kuwa mbali na dhambi na kadiri yetu tuepukane nazo na sio kujinasibu kuwa tu WASAFI au TUMEOKOKA,,,, Kuokoka ni tendo LA utimilifu kwamba umeshamiliza kila kitu

cc Otorong'ong'o
 
Mwanamke ni mdhaifu HANA IMANI THABITI SIKU zote hata ajifanye anajua sana dini

WACHUNGAJI WANAKWAYA NDO MICHEZO YAO HIYO.

Kuna mchungaji mmoja hukohuko Kenya anamuombea mgonjwa wa titi huku analipalpate
Wakat nipple ni very sensitive on touch

Siku akienda anaimwa sehem za siri sijui itakuaje?

Maombi ya kishetani na madada wanapenda kuombewa mwishoni WANAOMBWA
 
Hii point ina kila aina ya vitamins...
 
Kwa mchungaji
Hizo ni akili za hovyo kutoa kichapo kwa mchungaji wakati mke wako alikwenda mwenyewe! Hakulazimishwa na mtu alikwenda kwa mapenzi yake, utawapiga wangapi sasa!? Mwisho uje fungwa bure kwa sababu ya vijinyege vya mkeo visivyo na adabu "shamba likikushinda, wacha walime wenzio" yanini sasa uanze kuvinja majembe ukashitakiwa!?
 
Duu
 
Eti unamfanyia mke wa mtu maombi kwenye lodge ? halafu mnavua nguo ?


Mimi nilichoshangaa ni mume wake kutokutoa kichapo




Mmh! Haya maombi na babu kubwa.
 
Mmmh
 
Hata mchungaji nae ni binadamu bana, kuna kupitiwa sometimes
 
Eti unamfanyia mke wa mtu maombi kwenye lodge ? halafu mnavua nguo ?


Mimi nilichoshangaa ni mume wake kutokutoa kichapo




Du wachungaji kumbe hufaidi sana wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…